POLISI HANDENI WAPONGEZA MAFUNZO USALAMA BARABARANI KWA BODABODA
Na Mwandishi Wetu, Handeni JESHI la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Wilaya ya Handeni mkoani Tanga, limesema ipo haja kwa waendesha bodaboda wilayani humo kuendelea kupatiwa mafunzo ya usalama barabarani kupunguza ajali. Akizungumza wakati wa mafunzo ya usalama barabarani kwa waendesha bodaboda zaidi ya 160, Kaimu Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Wilaya ya Handeni…