Aweso Akagua tenki la kuhifadhi Maji Kibamba saa tisa usiku
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amefanya ukaguzi wa kushtukiza saa tisa usiku katika tenki la kuhifadhi maji Kibamba na kushuhudia maji yakiwa yamejaa ikilinganishwa na hali aliyoikuta juzi tar.1 July alipokuta tenki halina Maji kabisa, Waziri Aweso amesema kwamba hakuna sababu ya wananchi kukosa huduma ya maji na yaendelee kusukumwa kwa kasi hiihii na…