FLIGHT PATH DIPLOMACY: REVISITING PAST TANZANIA-KENYA AVIATION DISPUTES.

Aviation diplomacy plays a crucial role in resolving international aviation disputes. It involves diplomatic channels, negotiations, and consultations to settle disputes between states. The International Civil Aviation Organization (ICAO) is a key player in this process, providing a framework for dispute resolution. Diplomacy helps maintain international relations and trade in aviation, ensuring the smooth operation…

Read More

Bei ya petroli yashuka, dizeli ikiongezeka

Dar es Salaam. Bei ya petroli imeshuka mwezi huu Julai katika mikoa inayochukua mafuta hayo Bandari za Dar es Salaam, Tanga na Mtwara ikilinganishwa na Juni, huku dizeli ikiongezeka kidogo. Taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) inaonyesha kuwa bei za mafuta kuanzia leo Jumatano Julai 3, 2024 yale…

Read More

DIARRA KUSALIA YANGA HADI 2027 – MWANAHARAKATI MZALENDO

Golikipa nambari moja wa Yanga, Djigui Diarra raia wa nchini Mali ameongeza mkataba wa miaka mitatu kuendelea kuwatumikia Wananchi wa Jangwani. Mkataba mpya aliosaini utadumu kwa misimu mitatu yaani kwa mwaka 2024/25, 2025/26 na 2026/27 ambao utakuwa msimu wake wa mwisho Hivyo, Mlinda lango huyo anasalia kuwa mali safi ya klabu hio kutokana na uwezo…

Read More

Dubois kumrudisha AJ kwa Tyson, Usyk

WIKIENDI iliyopita ulitokea msuguano mkali kati ya Anthony Joshua (AJ) na Daniel Dubois kiasi cha kutaka kuzichapa ‘kavukavu’ mbele ya wasimamizi wao, uliamsha hisia zaidi za pambano lijalo, Septemba 21, mwaka huu. Waingereza hao watapigana katika Uwanjani wa Wembley siku hiyo kuwania mkanda wa IBF ambao upo mikononi mwa Oleksandr Usyk ambaye imemlazimu auachie ushindaniwe…

Read More

Mastaa Umitashumta kuitwa Stars | Mwanaspoti

WAKATI Shirikisho la Soka nchini (TFF) likiwa limeshapokea barua ya kustaafu kuitumikia Taifa Stars ya nahodha, Mbwana Samatta, Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Damas Ndumbaro ametaja mikakati ya kupata warithi wa wachezaji waliopo na mastaa wa baadae. Ndumbaro ambaye alikiri kupokea barua ya Samatta, alisema wizara imeshatoa maelekezo kwa vyama vyote vya michezo…

Read More