Makato kodi ya majengo yazua taharuki

Dar es Salaam. Mwaka mpya wa fedha wa 2024/25 ukianza, wananchi wamelalamika kuongezeka makato ya kodi ya majengo kuanzia Julai Mosi 2024. Hata hivyo, Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), limesema ongezeko hilo ni malipo ya deni walilopaswa kukatwa Julai, 2023. Kwa mujibu wa shirika hilo, kodi ya jengo kwa nyumba za kawaida imesalia Sh1,500 kwa…

Read More

MBIBO AISHAWISHI BENKI YA STANBIC KUIFIKIRIA SEKTA YA MADINI NCHINI

STAMICO Yajipambanua maeneo ya ushirikiano STANBIC Benki Yasema inaitazama Sekta ya Madini Tanzania Dodoma Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini, Msafiri Mbibo ameishawishi Benki ya Stanbic kuifikiria Sekta ya Madini nchini na kuona namna inavyoweza kushirikiana nayo kutokana na uwepo wa fursa nyingi za kiuwekezaji na kibiashara ikiwemo mifumo mizuri ambayo inaweka usalama uwekezaji wao….

Read More

DC MANGWALA "MTUMISHI ATAKAYEKULA FEDHA ZA MAENDELEO ATAZITAPIKA"

NA WILLIUM PAUL, ROMBO. WATUMISHI wa Umma wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro wametakiwa kuhakikisha fedha zinazoletwa na serikali kwa ajili ya miradi ya maendeleo zitumike kama zilivyokusudiwa na yeyote atakayebaini kuzitumia kinyume atazitapika. Hayo yalisemwa na Mkuu wa wilaya ya Rombo, Raymond Mwangwala katika mkutano wa hadhara uliofanyika Tarafa ya Mengwe kata ya Mamsera ambapo alisema…

Read More

Alichosema Lissu kuhusu Mchungaji Msigwa kutimkia CCM

Dar es Salaam. Siku chache tangu Mchungaji Peter Msigwa kutimkia Chama cha Mapinduzi (CCM), Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu ameeleza kusikitishwa na uamuzi huo akisema: “Kwa kujiunga na maadui zangu wa kisiasa, sasa nitalazimika kukutana naye kama hasimu wake wa kisiasa.” Lissu amesema hayo leo Jumanne Julai 2, 2024 ikiwa ni siku nne…

Read More

NELSON MANDELA MARATHON KUFANYIKA SEPTEMBA 22,2024

Makamu Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Prof Maulilio Kipanyula akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo katika picha) wakati alipokuwa akitambulisha mbio za masafa marefu za Nelson Mandela (Nelson Mandela Marathon) zinazotarajiwa kufanyika September 22, 2024 katika kampasi ya Tengeru Arusha. Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi Nelson Mandela Marathon…

Read More

Mbowe: Serikali iwadhibiti tembo wanaoingia makazi ya watu

Muheza. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amezitaka mamlaka zinazohusika kusimamia na kudhibiti wanyamapori nchini, kuchukua hatua za kuwadhibiti tembo wanaoingia kwenye makazi ya wananchi katika Wilaya ya Mkinga, mkoani Tanga. Akizungumza na wananchi wilayani humo, ikiwa ni mwendelezo wa mikutano yake ya hadhara leo Julai 2, 2024 kwenye kampeni yao…

Read More

EQUITY BANK YAWAKARIBISHA WAJASIRIAMALI KUPATA MKOPO

WAJASILIAMALI na wasambazaji wa bidhaa za kampuni mbalimbali wameshauriwa kufika katika Benki ya Equty Tanzania ili kupata mkopo usiokuwa na riba ili kuendelea biashara zoa. Meneja Mkuu Biashara, Leah Ayubu ametoa mwito huo jana wakati katika Maonesho ya Biashara Kimataifa Dar es Salaam yanayoendela katika viwanja vya Nyeerer barabara ya Kilwa mkoani Dar es Salaam….

Read More

Ukweli kuhusu matumizi ya maji ya bamia

Dar es Salaam. Jamii imekuwa na mtazamo tofauti kuhusu matumizi ya bamia, baadhi wakiamini kwa kutumia maji yake wanaweza kuongeza uteute kwenye magoti. Mbali ya hao, wapo wanaoamini kwa kutumia maji ya bamia wanaweza kuongeza uteute ukeni. Hata hivyo, ukweli ni kuwa kutokana na utajiri wa vitamini na viambata vilivyomo ndani ya bamia, huchangia kuimarisha…

Read More