Ndumbaro aukagua Uwanja wa CCM Kirumba, kufanyiwa ukarabati kuelekea Afcon 2027
WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro amekagua hali ya Uwanja wa CCM Kirumba uliopo jijini Mwanza ambao upo kwenye mpango wa kufanyiwa ukarabati mkubwa kwa ajili ya mashindano ya Afcon 2027. Dkt. Ndumbaro amefanya ukaguzi huo leo Julai 2, 2024 akiwa ameambatana na Mbunge wa Ilemela, Angelina Mabula ambapo amekagua eneo la…