HIKI HAPA CHANZO CHAMA KUTAMBULISHWA YANGA BILA JEZI – MWANAHARAKATI MZALENDO
Afisa habari na mawasiliano Young Africans SC atoa sababu iliyopelekea wao kama klabu kufanya uamuzi wa kumtambulisha Mchezaji Cleoutus Chama bila ya kuvalia uzi wa klabu hio. “Suala la Usajili wa Chama ni sehemu ya biashara yetu. Kila mtu anakiri kuwa usajili wa Chama ni usajili mkubwa. Najua wengi wanauliza kwanini hatujamtambulisha Chama na jezi…