BENKI YA NCBA YAZINDUA MSIMU WA PILI MASHINDANO YA GOFU
BENKI ya NCBA Tanzania imezindua rasmi msimu wa pili wa mashindano ya gofu ya NCBA. Mashindano haya yatafanyika kwenye uwanja wa gofu wa Gymkhana, Arusha. Akizungumza Wakati wa Mashindano hayo Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Damas Ndumbaro ambaye alihudhuria tukio hilo kama mgeni rasmi, na pia alishiriki katika mchezo wa gofu, aliongelea ushirikiano wake…