Aussems atuma salamu Ligi Kuu 2024/25

KOCHA mpya wa Singida Black Stars, Patrick Aussems amejipa wiki tatu hadi nne za kuwasoma wachezaji wake kabla ya kutoa dozi ya mbinu zake katika maandalizi ya msimu ujao ambao anaamini wanaweza kutoa ushindani mbele ya Yanga, Azam, Simba na Coastal Union ambazo zilimaliza msimu uliopita katika nafasi nne za juu. Mbelgiji huyo ambaye aliwahi…

Read More

STRAIKA MUKWALA ATUA SIMBA – MWANAHARAKATI MZALENDO

Klabu ya Simba SC imemtambulisha Mshambuliaji Steven Mukwala raia wa Uganda baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu kutoka Asante Kotoko ya Ghana.Mukwala mwenye umri wa miaka 24 ni mshambuliaji kinara mwenye uwezo wa kufunga hivyo Simba SC inategemea atakuwa msaada mkubwa kwa timu.Mukwala amefunga mabao 14 na kuisaidia kupatikana kwa mengine mawili katika michezo…

Read More

Wasichana 10,100 waliokatisha masomo warejeshwa shule

Dodoma. Jumla ya wasichana 10,100 waliokatiza masomo, wamerejeshwa shuleni nje ya mfumo wa rasmi wa elimu kwa kipindi cha miaka mitatu tangu mwaka 2022 hadi mwaka 2024. Wengi wa wanafunzi hao ni wale waliokatisha masomo kwa kupata ujauzito na utoro, ambao wamerejeshwa shuleni kupitia vituo vya Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima, ikiwa ni miaka…

Read More

MZEE WA KALIUA: Ni muda wa Gamondi kufukuzwa?

KILA unapovuta picha ya uwepo wa Clatous Chama, Maxi Nzengeli, Stephen Aziz KI, Prince Dube na Pacôme Zouzoua unachoona ni ushindi tu. Unachoona kingine ni mtu kupigwa tano kila siku. Unachoona ni safari ya Yanga kwenda kushinda kila mechi. Unachoona ni Yanga kwenda fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Unachoona ni Yanga kushinda mechi zote…

Read More

Mikakati kufikia tani 120,000 za mkonge yabainishwa

Na Nora Damian, Mtanzania Digital Bodi ya Mkonge Tanzania (TSB) imeeleza mikakati mbalimbali inayofanywa ili kuhakikisha uzalishaji wa mkonge unafikia tani 120,000 mwaka 2025 kutoka tani 56,000 za sasa. Ofisa Kilimo wa Bodi ya Mkonge Tanzania (TSB), Emmanuel Lutego (kushoto), akiwasikiliza wateja waliotembelea banda la bodi hiyo kwenye Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa…

Read More

Straika wa Okwi rasmi atua Msimbazi

Klabu ya Simba imemtambulisha mshambulia Steven Mukwala, raia wa Uganda. kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Asante Kotoko ya Ghana. Huo ni utambulisho wa tatu kwa Simba kuelekea msimu mpya wa mashindano wa 2024/25 baada ya wekundu hao kumtambulisha winga Joshua Mutale kutoka Power Dynamos ya Zambia na Lameck Lawi kutoka Coastal Union, ambaye hata…

Read More