Majasusi watibua jaribio la kumpindua rais Ukraine
SERIKALI ya Ukraine imefanikiwa kutibua njama za kuipindua serikali ambayo imekuwa hasimu mkubwa wa Urusi. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa… (endelea). Taarifa iliyotolewa na mtandao wa Telegram imeeleza kuwa, Shirika la Ujasusi la Ukrainme (SBU) ilidai kuwa waandaaji wa mapinduzi walipanga kuzua ghasia jijini Kyiv tarehe 30 Juni 2024 na kudhibiti Bunge la Ukraine na kuondoa…