Msafara wa chakula wa Umoja wa Mataifa ulishambuliwa, vifaa viliporwa huku kukiwa na hali mbaya zaidi – Global Issues

Clementine Nkweta-Salami, juu Afisa wa Umoja wa Mataifa wa masuala ya kibinadamu nchini Sudan alionyesha “kukasirishwa” na tukio hilo. “Msaada ulioporwa kutoka kwa a WFP msafara katika Darfur ya Kati hautaenda tena kwa watu walio hatarini zaidi wanaohitaji,” alisema katika a chapisho kwenye X, zamani Twitter. Katika tofauti chapishoWFP ilitoa wito kwa mamlaka kuhakikisha wahusika…

Read More

USHIRIKA UTUMIKE KUWAKOMBOA WANANCHI KIUCHUMI- MHE. SILINDE

Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. David Silinde (Mb) ameitaka Tume ya Maendeleo ya Ushirika pamoja na taasisi nyingine zinazohusika na Ushirika kusimamia vyema uendeshaji wa Vyama vya Ushirika ili viweze kutumika kama nyenzo ya kuimarisha uchumi na kuondoa umasikini. Akifungua Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani leo Julai 1, 2024 katika Viwanja vya Ipuli Mkoani…

Read More

32,000 wahudumiwa kambi ya madaktari bingwa Arusha

Arusha. Jumla ya watu 32,186 wamehudumiwa katika kambi ya madaktari bingwa na wabobezi iliyokamilika leo Jumatatu Julai mosi, 2024 katika Viwanja vya Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha. Akitoa tathmini ya kambi hiyo iliyofanyika kwa siku nane, Mganga Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Charles Mkombachepa, amesema kati ya watu hao, wapo watoto 4,616 waliohudumiwa katika kambi…

Read More

Kamusi, misamiati wanafunzi wenye mahitaji maalumu zaja

Musoma. Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia iko katika mchakato wa kuandaa kamusi ya lugha ya alama ya vifaa vya ufundi kwa ajili ya masomo kwa watu wenye mahitaji maalumu. Pia, wizara hiyo inatarajia kuandaa kamusi na misamiati kama mwongozo wa kufundishia masomo ya sayansi kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu nchini. Hayo yamesemwa leo, Jumatatu…

Read More

Nani mhusika matukio ya utekaji?

Dar es Salaam. Vilio vya watu kutoweka na kutekwa vimeendelea kuibua hofu na wasiwasi nchini, huku wadau wakiinyooshea kidole Serikali kwa kushindwa kuvikomesha. Kwa mujibu wa wadau hao wa kada mbalimbali, pia vipo viashiria vya ushiriki vyombo vya dola, ikidaiwa baadhi ya watekaji wanapomchukua mtu hudai wao ni askari, madai ambayo Waziri wa Mambo ya…

Read More

Makumi ya maelfu wameyahama makazi yao katika ongezeko jipya la Jiji la Gaza – Masuala ya Ulimwenguni

Kuhama kutoka kwa mji wa Gaza katika wilaya ya mashariki ya Shujaiya kunafuatia siku za mashambulizi makali yaliyoripotiwa na wanajeshi wa Israel, ambao vifaru vyao vimeonekana “karibu mita 100” mashariki mwa barabara ya Salah El Din, mhimili mkuu wa kaskazini-kusini. “Watu katika eneo hili wanatuambia kuhusu njaa inayokuja, na jinsi watu wanavyokula majani ya miti…

Read More

Sura mbili za Mchungaji Msigwa katika siasa

Dar es Salaam. Uamuzi wa mbunge wa zamani wa Iringa Mjini (Chadema), Peter Msigwa kujiunga na CCM, umeonyesha sura mbili za mwanasiasa huyo, aliyekuwa mwiba kwa chama hicho tawala kutokana na maneno yake ya ukosoaji. Jana, Juni 30, 2024, Msigwa alitambulishwa na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla kama mwanachama mpya…

Read More

Wanachama CCM, Chadema wapishana kauli Msigwa kuhamia CCM

Katavi. Siku moja baada ya aliyekuwa Mbunge wa Iringa Mjini kwa tiketi ya Chadema na Mwenyekiti wa chama hicho Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa kuhamia Chama cha Mapinduzi (CCM), wanachama wa vyama hivyo wamepishana kauli kuhusu uamuzi huo. Wakizungumza na Mwananchi Digital kwa nyakati tofauti leo Jumatatu Julai mosi, 2024, Amos Mgomelo, mwanachama wa…

Read More