Makada wa CCM Ileje mtegoni

Songwe. Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Ileje, Mkoani Songwe, kimesema kitawafikisha kwenye vikao vya maadili ya chama hicho makada wanaojipitisha kwa lengo la kutaka nafasi za ubunge na udiwani kabla ya wakati. Makada hao watafikishwa kwenye vikao vya kamati ya maadili kwa utaratibu utakaohusisha upokeaji wa tuhuma dhidi yao wanaokiuka miongozo ya chama hicho,…

Read More

Raia wa Oman aliyekuja matembezi jela kwa kughushi kadi ya mpiga kura

Dar es Salaam. Raia wa Oman, Hatem Mohamed (37) na mwenzake Ally Ally (26), wamehukumiwa kwenda jela miezi 12, baada ya kushindwa kulipa faini ya Sh1 milioni kila mmoja,   baada ya kupatikana na hatia ya kughushi kadi ya mpiga kura na kudanganya maofisa uhamiaji.                                                                                                                       Hukumu hiyo imetolewa leo Jumatatu Julai mosi, 2024 na  Hakimu…

Read More

Nyumba 76 za watumishi wa afya, zitakavyoboresha utoaji huduma

Unguja. Familia 76 zimepata makazi karibu na Hospitali ya Rufaa ya Abdalla Mzee, Kusini Pemba hatua inayotajwa kuongeza ufanisi wa kutoa huduma katika hospitali hiyo baada ya kuwaepusha wataalamu kutembea masafa marefu kwenda kutoa huduma. Nyumba hizo 76 zenye gharama ya Sh16.481 bilioni zimejengwa na Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China na kuikabidhi Serikali…

Read More

Maandamano ya Gen Z, Ruto asisitiza mikono yake safi

Rais wa Kenya, William Ruto amesisitiza mikono yake haijachafuka damu kutokana na mauaji yaliyotokea nchini humo, baada ya waandamanaji kukabiliana na polisi. Mamia ya Wakenya waliandamana Jumapili jijini Nairobi, kuwaenzi wale waliofariki katika maandamano ya kuipinga Serikali wiki iliyopita. Inadaiwa watu 30 waliuawa katika maandamano hayo. Rais Ruto, aliyekuwa akizungumza katika mahojiano na waandishi wa…

Read More

Korea Kusini yaanza safari kujenga bandari ya uvuvi Zanzibar

Unguja. Imeelezwa kuwa ujenzi wa bandari kubwa za uvuvi utaifungua Zanzibar kiuchumi na  kuwavutia wawekezaji kuwekeza kisiwani humo. Hayo yamebainika leo Jumatatu Julai mosi, 2024 baada ya Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar kusaini makubaliano na Korea ya Kusini ya kufanya upembuzi yakinifu wa kujenga bandari za uvuvi kisiwani humo. Katibu Mkuu wa…

Read More

Mhitimu wa VETA Darasa la Tatu B Aanzisha Kiwanda

Mhitimu wa VETA Fani ya Uchomeleaji Faraja Michael akiwa katika bembea aliyobuni ambayo ina sehemu ya kuchaji Simu pamoja sehemu ya maji kwenye Maonesho ya Sabasaba *Asema ajira za ujuzi zipo za kutosha Na Chalila Kibuda,Michuzi TV Mhitimu wa VETA Dodoma fani ya uchomeleaji Faraja Michael aanzisha kiwanda chake kutengeneza vitu mbalimbali vinavyotokana na chuma…

Read More

Simba yatambulisha chuma kipya kutoka Zambia

Simba imemtambulisha rasmi Joshua Mutale raia wa Zambia anayecheza nafasi ya kiungo mshambuliaji kuwa mchezaji wao kwa miaka mitatu. Kiungo huyo aliyekuwa akikipiga Power Dynamos msimu wa 2023/2024 amefunga mabao matano na asisti tatu kwenye mechi 26 alizocheza. Mutale mwenye miaka 22 anamudu kucheza nafasi nyingi uwanjani tena kwa ufanisi kwani anaweza kucheza kama winga…

Read More

Viongozi wa dini Kenya waonya juu ya kutekwa nyara vijana – DW – 01.07.2024

Haya yanajiri baada ya ripoti zilizotolewa kuonesha zaidi ya vijana 34 hawajulikani walipo. Viongozi wa kidini kutoka mjini Mombasa nchini Kenya wamekosoa vitendo vya mauaji na uharibifu wa mali wakati wa maandamano ya kupinga mswada wa fedha yaliyofanyika alhamisi wiki iliyopita. Kundi la mashirika yanayopigania mageuzi katika kikosi cha polisi limetoa ripoti inayoonesha watu  34 walitekwa nyara…

Read More