Kutana na mwanamke mwenye nywele ndefu zaidi duniani
Mwanamitindo maarufu nchini Ukraine, Aliia Nasyrova (35) ametajwa kuvunja rekodi ya ‘Guinness” ya kuwa mwanamke mwenye nywele ndefu zaidi duniani. Awali, nafasi hiyo ilikuwa ikishikiliwa na Smita Srivastava kutoka India, ambaye mwaka 2023 alitangwazwa kuwa mwanamke mwenye nywele ndefu zaidi duniani, zikiwa na urefu wa sentimita 236.22. Kwa mujibu wa tovuti ya Guiness Word, nywele…