CAG atoa kongole kwa PPAA

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere ameipongeza Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) kwa kazi nzuri wanayoifanya ya kutoa elimu kwa umma kuhusu majukumu yake. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere akisaini kitabu cha wageni katika banda la…

Read More

Vijana washauriwa kupima VVU kukabilian ongezeko laa maambukizi

  MWAKILISHI wa Mtandao wa vijana wanaoishi na Virusi vya UKIMWI Tanzania Cyprian Komba amewataka vijana kujitokeza kupima  Virusi vya UKIMWI ili kukabiliana na ongezeko la maambukizi linalowakumba vijana. Anaripoti Christina Haule, Morogoro … (endelea).   Kwa mujibu wa utafiti wa viashiria vya UKIMWI uliofanywa na Serikali mwaka 2022/23 watu 60,000 wamepata maambukizi ya VVU huku…

Read More

Watanzania tembeleeni Maonyesho ya Sabasaba”-CAG Kichere

Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, ametoa wito kwa wananchi kutembelea Maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara Sabasaba ili kujifunza na kufahamu huduma mbalimbali zinazotolewa na taasisi za serikali na binafsi kwa ajili ya kuwahudumia wananchi. Akizungumza leo, Julai 1, 2024, alipotembelea maonesho hayo…

Read More

Saa mbili za mahojiano ya mwisho Manji Dar

Dar es Salaam. Kukiwa na upepo mkali Jumatano ya Aprili 18, 2024 simu yangu iliingia ujumbe mfupi kutoka kwa aliyekuwa mwenyekiti na mfadhili wa Yanga, Yusuf Manji akinitaka tuende uwanjani kutazama mechi ya Simba na Yanga. Hivyo ndivyo anaanza kusimulia mwandishi wa habari Zourha Malisa ambaye alikuwa rafiki wa karibu wa Manji aliyezikwa nchini Marekani…

Read More

TUKUTANE SABASABA!! – MICHUZI BLOG

Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) inashiriki Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 48 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Es Salaam ili kuonesha huduma mbalimbali zinazotolewa na Bodi hiyo pamoja na utoaji wa elimu kwa wananchi waliofika kwenye Banda la Bodi hiyo lililo ndani ya jengo la Wizara…

Read More