Mbowe, Prof. Kitila ‘wavaana’
MITIZAMO ya kisiasa kuhusu ugumu wa mtu kuwa mwanachama wa chama cha upinzani hususani Chadema imewagonganisha Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe na Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Prof. Kitila Mkumbo baada ya ‘kuvaana’ hadharani. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Majibizano kati ya vigogo hao yamekuja siku moja baada ya aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa…