Kilichowaponza vigogo wawili kusimamishwa kazi Dawasa
Dar es Salaam. Uamuzi wa kusimamishwa kazi kwa watendaji wawili wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa), akiwemo Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu, Kiula Kingu umechochewa na sababu mbalimbali, ikiwemo ufuatiliaji duni wa miundombinu ya maji. Kiula amesimamishwa jana Jumapili, Juni 30, 2024 pamoja na Mkurugenzi wa Uzalishaji na Usambazaji…