Viongozi wa ACT jimbo zima watimkia Chadema

Viongozi wa Chama cha ACT Wazalendo jimbo la Kilindi mkoani Tanga jana tarehe 30 Juni 2024 wamehamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema. Anaripoti Faki Ubwa … (endelea). Viongozi hao wamepokewa na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Kilindi mkoani humo. Viongozi wa ACT waliohamia Chadema ni pamoja na:-Salum Omar –…

Read More

JICHO LA MWEWE: Ya Dube, maandiko yametimia

HATA leo usiku Prince Dube anaweza kutangazwa kuwa mchezaji mpya wa Yanga. Hii ni kati ya siri zilizofichwa vibaya katika soka letu. Siri nyingine iliyofichwa vibaya ni ile ya Feisal Salum ‘Fei Toto’ kuondoka Yanga kwenda Azam. Hatimaye kisasi kimelipwa. Usingetazamia kama maisha yangekwenda haraka kwa namna hii.

Read More

Australia na Afrika mashariki waimarisha uhusiano kupitia kombe la Afrika mashariki la soka kukuza uwezo na ushiriki wa vijana kwenye michezo

Australia imeendelea kukuza mahusiano ya karibu na nchi za mashariki mwa Afrika kupitia tukio la wiki hii la mashindano ya kombe la Afrika Mashariki (East Africa Cup) – mashindano yanayofanyika kila mwaka kwa lengo la kuhamasisha michezo kama nyenzo ya kuwawezesha vijana. Mchango endelevu wa Australia katika kombe hilo umechangia ongezeko la ushiriki wa mabinti…

Read More

Uvumilivu kwa Unyanyasaji Dhidi ya Watu wa LGBTQI+ Sasa Umewekwa Wazi Kupitia Sheria – Masuala ya Ulimwenguni.

Sarah Sanbar na CIVICUS Jumatatu, Julai 01, 2024 Inter Press Service Julai 01 (IPS) – CIVICUS inajadili kuharamishwa kwa mahusiano ya jinsia moja nchini Iraq na Sarah Sanbar, mtafiti katika kitengo cha Human Rights Watch Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini. Sarah SanbarBunge la Iraq hivi majuzi lilipitisha sheria inayowatia hatiani watu wa LGBTQI+, kuadhibu…

Read More

Tunaanza upya 2024/25, mipango mikakati kambini

ILE siku iliyokuwa inasubiriwa na mashabiki wa soka hususan wale wa klabu zilizomaliza Nne Bora ya Ligi Kuu Bara msimu uliopita, Yanga, Simba, Azam na Coastal Union imefika. Klabu hizo zote zilitangaza kwamba leo, Jumatatu, ikiwa ni Julai Mosi ndio zinaanza rasmi mipango ya msimu ujao wa Ligi Kuu ikiwamo kuanza kukutana kambi za awali…

Read More

JIWE LA SIKU: Kwa usajili huu, Yanga 4-0 Simba

UHAMISHO na usajili wa wachezaji unaendelea tangu dirisha la usajili lilipofunguliwa Juni 15, mwaka huu. Katika Ligi Kuu Bara kila timu inasajili inavyojua huku timu pendwa zaidi za Simba na Yanga zikiendelea kutambiana kama ilivyo kawaida ya watani hao wa jadi. Yanga inasajili lakini bado haijatambulisha mchezaji yeyote hadi sasa vivyo hivyo kwa Simba iliyosajili…

Read More

Hii kiboko, Singida BS yapitisha fagio zito

SINGIDA Black Stars imeamua. Klabu hiyo iliyokuwa ikifahamika kama Ihefu na kumaliza katika nafasi ya saba kwenye Ligi Kuu Bara iliyomalizika hivi karibuni, inaelezwa imekifanya kile kilichofanywa na Pamba Jiji kwa kuifumua timu nzima. Pamba iliyopanda Ligi Kuu msimu ujao kutoka Ligi ya Championship ikiwa sambamba na KenGold, hivi karibuni ilitangaza kuunda benchi jipya la…

Read More