Hii ndiyo Yanga ya Chama
KLABU ya Yanga imemtangaza aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Simba, Clatous Chama kuwa mchezaji wake baada ya kumaliza mkataba na waliokuwa waajiri wake wa zamani jana, Juni 30, 2024 Chama atakuwa mmoja wa wapambanaji wa timu hiyo msimu wa 2024/2025 ambapo timu hiyo itakuwa ikishiriki mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrka, Ligi Kuu Bara, Kombe la…