Watoto 53 wa Arusha kufanyiwa upasuaji wa moyo JKCI, Rais Samia kugharamia
Arusha. Wagonjwa wa moyo 236 wamepewa rufaa kwenda Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), kwa ajili ya matibabu ya moyo ikiwemo upasuaji. Kati ya hao wamo watoto 53 ambao watafanyiwa upasuaji mkubwa na kuwekewa valvu za bandia. Aidha, asilimia 40 ya wagonjwa zaidi ya 1,500 wa moyo waliofanyiwa uchunguzi, wamebainika kukutwa na matatizo ya…