TETESI ZA USAJILI BONGO: Yanga, Pacome kumaliza utata
MABOSI wa Yanga wanadaiwa wapo kwenye mazungumzo ya kumuongezea mkataba mpya kiungo nyota wa timu hiyo, Pacome Zouzoua. Kiungo mshambuliaji huyo raia wa Ivory Coast alijiunga na timu hiyo Julai 19 mwaka jana akitokea Asec Mimosas ya nchini kwao na amebakisha mkataba wa mwaka mmoja, hivyo kuzivutia klabu mbalimbali za ndani na nje ya nchi…