Simba yasajili viungo wa Yanga

HATIMAYE Simba Queens imekamilisha usajili wa viungo wawili wa Yanga raia wa Nigeria, Precious Christopher na Saiki Atinuke kwa mkataba wa mwaka mmoja. Wachezaji hao wawili wamecheza Yanga kwa misimu miwili wakisajiliwa Septemba 2022, Precious ambaye ni kiungo mshambuliaji na Saiki anayemudu kucheza kiungo mkabaji. Viungo hao wako huru kwa sasa baada ya kumaliza mikataba…

Read More

Abuni kifaa cha kuongeza usikivu cha bei nafuu

Dar es Salaam. Huenda watu wenye changamoto ya usikivu wakapata ahueni zaidi, baada ya mwalimu wa Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi (Veta) kubuni kifaa kinachoweza kuwasaidia kusikia vizuri. Kubuniwa kwa kifaa hicho nchini, kutashusha gharama za ununuzi ambazo watu wenye changamoto hiyo walikuwa wakizipata katika kununua vifaa kutoka Sh 500,000 kwa kifaa cha sikio…

Read More

Rais Nyusi mgeni rasmi ufunguzi maonyesho ya Sabasaba

Dar es Salaam. Ushirikiano katika sekta za habari, afya na elimu ni miongoni mwa mambo watakayojadili Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan na mgeni wake Rais wa Msumbiji, Felipe Nyusi. Wakuu hao wa nchi, wanatarajiwa kukutana Julai 2, 2024 Ikulu jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo maalumu, baada ya Rais Nyusi kuwasili nchini kesho Jumatatu,…

Read More

Muhas yaonya matumizi holela ya dawa kwa wajawazito

Na Nora Damian, Mtanzania Digital Serikali imeshauriwa kuweka msisitizo kuzuia matumizi ya dawa kiholela kwa wajawazito ili kuepusha madhara kwani zikitumika kwa muda mrefu husababisha ufubavu. Hatua hiyo inafuatia baada ya utafiti uliofanyika katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa kubaini wajawazito wengi wanatumia dawa kwa kiasi kikubwa. Dk. Edward Mhina ambaye ni mwanafunzi…

Read More

Russia yadai kuharibu ndege 36 za Ukraine

Moscow. Wizara ya Ulinzi ya Russia imesema vikosi vyake vimeharibu ndege zisizo na rubani 36 za Ukraine katika maeneo ya karibu na mpaka wa nchi hiyo. Wizara hiyo imesema leo Jumapili, Juni 30, 2023 kwamba: “Mifumo ya ulinzi wa anga iliyokuwa zamu iliharibu UAV 15 katika eneo la Kursk, UAV tisa eneo la Lipetsk, UAV…

Read More