Ndoa, talaka janga linalotikisa nchini
Dar es Salaam. Viongozi wa dini, wananchi na mtaalamu wa saikolojia wamekuwa na maoni tofauti kufuatia kushuka kwa idadi ya ndoa zilizosajiliwa, huku talaka zikiongezeka. Baadhi wanasema ndoa zinazofungwa ni nyingi lakini hazisajiliwi rasmi, wakati wengine wanadai watu wamekuwa na hofu ya kuoa kutokana na wimbi la talaka na kuona ndoa ni ngumu. Baadhi wanasema…