Kocha mpya Simba mambo freshi ni suala la muda tu
HUKO Msimbazi mambo ni moto, kwani baada ya kuanza kutambulisha vifaa vipya ikianza na Lameck Lawi kutoka Coastal Union, kwa sasa inajiandaa kumtangaza kocha mpya na mashine nyingine mpya zitakazoingia kambini kuanzia kesho Jumatatu. Simba inataka kutambulisha benchi la ufundi ili kuanza kambi ikiwa kamili kwa ajili ya msimu ujao, huku Msauzi, Steve Khompela akitajwa….