Wapata dawa ya utoro, mimba kwa wanafunzi wa kike

Mufindi. Ili kupunguza utoro na mimba kwa wanafunzi wa kike katika shule ya sekondari Ilongo iliyopo katika halmashauri ya wilaya ya Mufindi, Wakala wa Misitu Tanzania (TFS), kupitia shamba la miti la Sao Hill wametoa vifaa vya ujenzi wa bweni la wasichana vyenye thamani ya zaidi ya Sh30 milioni kwa ajili ya ujenzi wa bweni…

Read More

Machungu ya vivuko boti zikitumika, nane zakamatwa

Dar es Salaam. Makali ya upungufu wa vivuko kati ya Magogoni na Kivukoni yanaendelea kuwatesa wananchi ambao licha ya kuonywa na mamlaka, wameendelea kuvushwa na boti zinazohatarisha usalama wao.  Taarifa ya Kikosi cha Polisi Wanamaji iliyotolewa kwa vyombo vya habari jana, inathibitisha adha wanayopitia wananchi hao kutokana na kutofanya kazi kwa vivuko vya Mv Magogoni…

Read More

Sekta ya elimu hatarini | Mwananchi

Dar es Salaam. Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imekiri kuwashikilia watu 17 wanaotuhumiwa kuwafanyia mitihani wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), ikielezwa waliahidiwa malipo ya kati ya Sh30,000 na Sh50,000 kwa kila mtihani. Mbali na watuhumiwa hao, limethibitisha kuwashikilia wanafunzi saba wanaodaiwa kuwa ndiyo waliokuwa wakifanyiwa mitihani hiyo, huku wengine 10…

Read More

Wasomi wataja tiba kumaliza migomo ya wafanyabiashara

Dar es Salaam. Wataalamu wa uchumi wameshauri njia zinazoweza kutumika kumaliza migomo inayojirudia ya wafanyabiashara nchini, wakipendekeza kufanyika utafiti wa kina utakaosaidia kutungwa sera ya namna ya kufanya biashara. Pia wamehimiza kuaminiana, kufanya makadirio ya kodi yaliyo ya haki na yanayolipika na kuwapo majadiliano. Wameeleza hayo kutokana na mgomo wa wafanyabiashara uliodumu kwa takribani siku…

Read More

Tanzania yaiuzia Zambia mahindi tani 650,000

Dar es Salaam. Kutokana na ukame unaoikumba nchi ya Zambia, nchi hiyo imeingia makubaliano na Tanzania kununua tani 650,000 za mahindi kwa ajili ya kuwasaidia wananchi milioni saba wa taifa hilo. Mkataba huo utatekelezwa kwa kipindi cha miezi nane na utaiingizia Tanzania dola milioni 250 sawa na Sh650 bilioni. Mahindi hayo yatakayosafirishwa kwenda Zambia yatatolewa…

Read More

Dripu inayopiga simu, kutuma ‘sms’ kuleta mapinduzi

Dar es Salaam. Maendeleo ya sayansi na teknolojia yamewezesha kuboresha huduma mbalimbali zikiwamo za hospitalini kwa wagonjwa na hasa waliolazwa. Kutokana na umakini unaohitajika wa kufuatilia mwenendo wa dripu za maji au damu wanazotundikiwa wagonjwa, Godwin Justine mwanafunzi wa Chuo cha Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (Veta) amebuni dripu ya kielektroniki. Dripu hiyo imewekwa…

Read More