Wadaiwa sugu bodi ya mikopo kusakwa zipatikane Sh bilioni 200
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) imezindua kampeni inayolenga kuwasaka wadaiwa ambao hawajalipa mikopo yao tangu walipohitimu masomo. Kampeni hiyo ijulikanayo kama ‘Fichua’ itaendeshwa kwa miezi miwili ikilenga kukusanya zaidi ya Sh bilioni 200 kutoka kwa wadaiwa zaidi ya 50,000. Akizungumza leo Juni 28,2024 wakati wa uzinduzi wa…