Kigogo Takukuru, wenzake walioachiwa huru warudishwa kortini
Dar es Salaam. Mahakama Kuu ya Tanzania, imeamuru kusikilizwa upya kesi iliyokuwa ikimkabili mhasibu wa zamani wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Geofrey Gugai na wenzake watatu, walioachiwa huru Novemba 2021. Katika kesi hiyo, waliyoachiwa huru na Hakimu Mkuu Mkazi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Gugai pekee alikabiliwa na mashtaka ya…