TAASISI ZA UMMA ZASISITIZWA UMUHIMU WA MFUMO WA NeST-TWAMALA
Kaimu Katibu Tawala ,Mkoa wa Pwani ,Shangwe Twamala amesisitiza ulazima wa Taasisi za Umma kutumia mfumo wa kielektroniki wa ununuzi wa Umma “NeST” ambao unasimamiwa na mamlaka ya udhibiti wa ununuzi wa Umma(PPRA).Hayo aliyasema wakati akifungua mafunzo ya siku tano juu ya Mfumo wa NeST kanda ya Pwani yaliyofanyaki Wilayani Bagamoyo. Twamala…