SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA NSSF

  Na MWANDISHI WETU, Dodoma. Spika wa Bunge laJamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana nakufanya mazungumzo na Bw. Masha Mshomba, Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko waTaifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), baada ya kuhitimisha Bunge JijiniDodoma, tarehe 28 Juni, 2024.Mazungumzo hayo yalihusuutaratibu wa ulipaji mafao ambao NSSF imeendelea kuuboresha kupitiamifumo ya TEHAMA. …

Read More

Serikali ilivyojipanga uboreshaji milki za ardhi

Dodoma. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imesaini mkataba wa Sh346 bilioni na Benki ya Dunia (WB) kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi. Mradi huo unalenga kuimarisha usalama wa milki za ardhi na kuwezesha miundombinu ya usimamizi wa rasilimali hiyo nchini. Majaliwa amesema hayo leo Juni 28, 2024…

Read More

Jeshi la Polisi lapiga marufuku kumiliki gobore, laruhusu Shortgun

Dar es Salaam. Jeshi la Polisi limepiga marufuku kampuni binafsi za ulinzi zinazotumia silaha zilizotengenezwa kienyeji (Gobore), badala yake imeshauriwa kufuata utaratibu wa kisheria wa kumiliki silaha aina ya “shotgun” kwani ndizo zinazoruhusiwa kutumika kwa shughuli za ulinzi. Pia, Jeshi la Polisi linawakumbusha wananchi kusalimisha silaha zilizokuwa zinamilikiwa kihalali na ndugu zao ambao kwa sasa…

Read More

Wananchi Mbeya wahaha kusaka maji usiku

Mbeya. Wananchi wa mitaa ya Mponzi, Sinde, Chaula na Makunguru jijini Mbeya wameendelea kusotea huduma ya maji kwa zaidi ya miezi miwili tangu kukatika kwake, huku wanawake wakielelezea hofu yao kiusalama wanapoamka usiku kutafuta huduma hiyo. Huduma hiyo ambayo ilipotea tangu Machi 2024 kwa baadhi ya maeneo, haijarejea tena na kufanya wakazi wa maeneo hayo…

Read More

Serikali, mabalozi kukutana kujadili changamoto za uwekezaji

Dar es Salaam. Wakati mabalozi wanaowakilisha mataifa yao Tanzania wameomba kukutana na Serikali kujadili changamoto zinazowakabili wawekezaji wa kigeni, Serikali imesema imelichukua suala hilo kwa umuhimu wa kipekee. Katika barua ya Juni 26, 2024, kwenda kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba, mabalozi hao wamesema licha ya ongezeko la…

Read More

Pingamizi mgombea ADC lapuuzwa, wanachama 197 kuamua

Dar es Salaam. Wakati wapiga kura 197 wakitarajia kufanya uamuzi wa kikatiba kumchagua mwenyekiti mpya wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Kamati ya uchaguzi huo imesema pingamizi alilowekewa mmoja wa wagombea wa nafasi ya mwenyekiti, Shabani Haji Itutu halijafuata kanuni za chama. Itutu aliwekewa pingamizi na wanachama saba wa ADC, Ibrahim Pogora, Asha…

Read More