Padri, baba wasomewa shtaka mauaji ya Asimwe
Bukoba. Watu tisa wamefikishwa mahakamani wakishtakiwa kwa kosa la mauaji ya kukusudia ya Asimwe Novath (2), mtoto mwenye ualbino akiwamo Paroko Paroko Msaidizi Elipidius Rwegashora wa Parokia ya Bagandika wilayani Misenyi Mkoa wa Kagera. Washtakiwa hao wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Bukoba na kusomewa shtaka la mauaji ya kukusudia ya mtoto huyo. Asimwe…