Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy

Year: 2024

  • Home
  • 2024
  • Page 17
Michezo

Yanga yauaga 2024 kibabe, ikiifumua Fountain 5-0

December 29, 2024 Admin

YANGA ni kama imejibu mapigo kwa watani wao wa Simba, baada ya jioni hii kupata ushindi wa kishindo wa mabao 5-0 dhidi ya Fountain Gate

Read More
Habari

Mbaroni akidaiwa kuiba mtoto wa miezi miwili

December 29, 2024 Admin

Mbeya. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Anna Mwakilima (24) mkazi wa Kijiji cha Mbuyuni Wilaya ya Mbarali kwa tuhuma za wizi wa mtoto

Read More
Habari

Ruto aahidi kukomesha utekaji Kenya 

December 29, 2024 Admin

Kenya. Wakati vit3ndo vya utekaji raia vikikithiri nchini Kenya Rais wa nchi hiyo, William Ruto ameahidi kukomesha vitendo hivyo vilivyolaaniwa na makundi ya kutetea haki

Read More
Habari

Utata kifo cha Wakili Manyara

December 29, 2024 Admin

Arusha. Wakati Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kikitoa tamko la kulaani kushambuliwa na kuuawa kwa Wakili Joseph Masanja, Wakili Peter Madeleka amesema ni wakati wa

Read More
Habari

Nida kuwafikia wasiochukua vitambulisho kidijitali

December 29, 2024 Admin

Dar es Salaam. Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), imeanza kufanya mazungumzo na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kuja na mfumo wa kidijitali ili kuwafikishia

Read More
Habari

MBUNGE MAVUNDE PAMOJA NA TAASISI YA DODOMA LEGENDS WATEMBELEA GEREZA KUU ISANGA DODOMA

December 29, 2024 Admin

▪️Washiriki Bonanza la Michezo na Askari Magereza ▪️Watoa misaada mbalimbali kwa wafungwa ▪️Wafanya ukarabati wa Jiko lqchakula kwa Wafungwa wanawake ▪️Jeshi la Magereza lapongezwa kwa

Read More
Michezo

Gamondi aikaushia AS FAR, aibukia Raja

December 29, 2024 Admin

MIGUEL Gamondi, aliyewahi kuinoa Yanga na kujizolea sifa kibao kwa mafanikio aliyoyapata akiwa na timu hiyo, inadaiwa ameikaushia ofa aliyopewa na AS Far Rabat ya

Read More
Habari

Mwaka 2024 unavyoacha huzuni katika sekta ya anga

December 29, 2024 Admin

Dodoma. Ajali ya ndege ya Jeju Air, Boeing 737-800 iliyotokea jana Korea Kusini na kusababisha vifo vya watu 179, huku wahudumu wawili wa ndege hiyo

Read More
Michezo

Maimuna akiri Misri mziki mnene

December 29, 2024 Admin

KIUNGO wa Zed FC, Mtanzania Maimuna Hamis ‘Mynaco’ amesema Ligi ya Misri imekuwa ngumu kiasi ambacho ukipoteza mchezo mmoja unasogea hadi nafasi ya chini. Nyota

Read More
Habari

Othman ahimiza uwekezaji hifadhi za misitu

December 29, 2024 Admin

Unguja. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman amesema ipo haja kuwekeza katika miradi ya uhifadhi misitu ili kuongeza mapato ya Serikali kupitia

Read More

Posts pagination

Previous 1 … 16 17 18 … 2,317 Next

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.