Wakulima wa pamba Shinyanga kicheko, kuuza kwa bei ya juu
Kahama. Wakulima wa pamba sasa kunufaika na ongezeko la Sh170 kwa kila kilo baada ya kampuni ya inayonunua zao hilo kuongeza kiasi hicho tofauti na bei elekezi ya Serikali kwa msimu huu. Bei elekezi ya Serikali ni Sh1,150 kwa kilo moja lakini kampuni ya ununuzi wa zao hilo ya Nida Textile Mills Ltd, imetangaza kununua…