Biden, Trump wakabiliana katika mdahalo wa uchaguzi wa rais – DW – 28.06.2024
Biden mwenye umri wa miaka 81, na Trump mwenye umri wa miaka 78, hawakusalimiana kwa kupeana mikono wakati waliposimama jukwaani katika studio za makao makuu ya televisheni ya CNN mjini Atlanta. Hakukuwa na watazamaji ukumbuni na vipaza sauti vilizimwa wakati kila mmoja akizungumza. Soma pia: Mamilioni ya Wamarekani kufuatilia mdahalo wa Televisheni kati ya Joe Biden…