AKILI ZA KIJIWENI: Mastaa wetu bado hawana elimu ya utalii
NYOTA wawili wakubwa wa timu ya taifa ya Morocco kwa sasa wapo nchini kwa ajili ya mapumziko baada ya kumalizika kwa msimu ulioisha wa 2023/2024. Wa kwanza ni beki Achraf Hakimi ambaye anacheza soka la kulipwa Ufaransa katika miamba ya soka nchini humo, PSG ambayo imemaliza msimu ikiwa mabingwa, huku Mmorocco huyo akiwa miongoni mwa…