WAKUU WA MIKOA NA WASAIDIZI WENU ONGEZENI KASI YA KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI – MCHENGERWA
Na Gideon Gregory Dodoma. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mohamed Mchengerwa amewasisitiza wakuu wa mikoa na wasaidizi wao chini kuongeza kasi ya usikilizwaji wa kero za wananchi na kuzitatua pamoja na kuhusianisha programu ya Uimarishaji wa Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa na kasi ya maendeleo katika maeneo yao. Waziri…