SERIKALI NA JWT WAAFIKIANA KUSIMAMIA MAAZIMIO 15 NA KUTOA MAAGIZO KWA TRA
Na Gideon Gregory, Dodoma. Serikali pamoja na uongozi wa jumuiya ya wafanyabiashara nchini (JWT) wameafikiana kusimamia maazimio 15 ambayo ndani yake serikali imetoa maagizo kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kusitisha Mara moja mazoezi yote ya kamata kamata pamoja na kusitisha mazoezi mengine yote ya ufuatiliaji wa risisti za EFD katika maeneo yote nchini hadi…