Kanoute awatikisa mabosi Simba | Mwanaspoti
KIUNGO wa Simba, Sadio Kanouté ‘Putin’ yupo mguu ndani, mguu nje kuwepo katika kikosi hicho kwa msimu ujao baada ya kuwatikisa mabosi wa klabu hiyo kiasi kwamba mazungumzo baina yao ili kusalia kikosini kushindwa kupata muafaka. Kanoute tangu ajiunge na Simba mwaka 2021 akitokea klabu ya Al-Ahli Benghazi ya Libya iliyokuwa imemnunua kutoka Stade Malien…