ORYX GAS, VIGOR GROUP WAZINDUA BOHARI YA KUHIFADHI NISHATI YA GESI ZANZIBAR – MWANAHARAKATI MZALENDO

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amezindua  bohari ya kwanza ya kuhifadhi nishati ya gesi ya Oryx huku akizitaka kampuni zingine za gesi kuhakikisha wanaweka mikakati itakayowezesha kupungua kwa bei ya gesi ili waipate kwa gharama nafuu. Akizungumza  mbele ya wananchi wa Zanzibar baada ya kuzindua bohari hiyo ya…

Read More

Mauaji kisa wivu wa mapenzi, ukatili vyaundiwa mkakati

Dodoma. Bunge la Tanzania limeelezwa mikakati inayofanywa na Serikali kwa ajili ya kupambana na vitendo vya ukatili ikiwemo kutoa huduma za afya ya akili na msaada wa kisaikolojia kwa jamii na kutoa hifadhi ya dharula kwa manusura wa vitendo vya ukatili. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu,…

Read More

Dili la Lawi Simba laipa mzuka Copco

WAKATI Simba na Coastal Union zikiendelea kuvutana kuhusu usajili wa beki, Lameck Lawi aliyefanya vizuri msimu uliopita kwenye Ligi Kuu Bara, Klabu ya Copco imejivunia kumzalisha na kumkuza nyota huyo huku akiwapa mzuka wa kuzalisha vijana wengine. Lawi ambaye siku chache zilizopita alitangazwa kusajiliwa na Simba akitokea Coastal Union, ni zao la Copco ya Mwanza…

Read More

Vyakula vyenye virutubisho lishe ndio kila kitu kuukabili udumavu

Iringa. Jamii imeshauriwa kuondoa mitazamo tofauti kuhusu vyakula na mafuta vinavyoongezwa virutubisho ili kuondokana na changamoto za lishe katika mikoa mbalimbali, hasa ya Nyanda za Juu Kusini zenye idadi kubwa ya watoto wenye utapiamlo na udumavu. Ushauri huo umetolewa na Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Hellen Chisanga wakati akizungumza na wanahabari mjini Iringa…

Read More

BoT YATAFITI UANZISHWAJI WA SARAFU ZA KIDIJITALI

  Na. Saidina Msangi, WF, Dodoma.  Serikali imesema kuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kwa sasa inaendelea na hatua ya utafiti wa uanzishwaji wa matumizi ya Sarafu za Kidijitali za Benki Kuu (Central Bank Digital Currency) hapa nchini. Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), wakati akijibu…

Read More

‘Thank You’ Fountain zinasubiri kocha mpya

WAKATI timu nyingine za Ligi Kuu Bara zikianza heka heka za usajili na kuboresha vikosi vyao kuelekea msimu ujoa, uongozi wa Fountain Gate FC ya Mwanza inasubiri kutambulishwa kwa kocha mpya ambaye ndiye atatoa maoni ya mwisho kwa wachezaji watakaochwa na usajili mpya. Timu hiyo ambayo awali ilijulikana kwa jila la Singida Fountain Gate Juni…

Read More

Sarafu za kidijitali bado yaipasua kichwa Serikali

Dodoma. Wizara ya Fedha imesema Benki Kuu ya Tanzania (BoT) inaendelea kufanya utafiti kuhusu uanzishwaji na matumizi ya sarafu za kidijitali za Benki Kuu (Central Bank Digital Currency).Hayo yamesemwa leo Alhamisi Juni 27, 2024 na Naibu Waziri wa Fedha, Hamad Chande alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Kigamboni (CCM), Dk Faustine Ndugulile.Dk Ndugulile amehoji Serikali…

Read More

USAID KIZAZI HODARI KUIMARISHA AFYA WATOTO MAZINGIRA HATARISHI

Mradi wa USAID kizai hodari unalenga kuimarisha afya, ustawi na ulinzi wa watoto yatima, wenye mazingira hatarishi pamoja na vijana wa rika barehe wanaoishi katika jamii zilizoathirika zaidi na maambukizi ya virusi vya ukimwi. Mradi huo unatekelezwa katika mikoa tisa ya Dodoma, Kilimanjaro, Tanga, Singida, Mwanza, Mnyara, Arusha, Mara na Geita Issa Murshid ni Mkurugenzi…

Read More