Sharti la mkataba lamwondoa straika Geita
Geita Gold inaendelea kupoteza wachezaji wake baada ya kushuka daraja, ambapo safari hii ni mshambuliaji wake, Ramadhan Kapera ambaye ameachana na timu hiyo kutokana na sharti la mkataba aliousaini dirisha dogo. Kapera aliyesajiliwa dirisha dogo na timu hiyo akitokea Mbeya Kwanza akiwa na mabao tisa Championship, na kusaini mkataba wa mwaka mmoja ambao ulikuwa na…