Kinachoendelea mgomo wa wafanyabiashara Dar, mikoani
Mikoani. Ikiwa ni siku ya nne tangu kutangazwa kwa mgomo wa wafanyabiashara nchi nzima, baadhi yao wameamua kufungua maduka na kuendelea na biashara kama kawaida huku wengine wakiendelea kuyafunga. Wafanyabiashara hao wameamua kugoma kuishinikiza Serikali kufanyia kazi malalamiko yao ambayo ni pamoja na kupunguza utitiri wa kodi na ushuru wanazolipa, unyanyasaji unaofanywa na maofisa wa…