RAIS SAMIA ANAGUSWA NA KUJALI MAISHA YA WAFANYAKAZI

   *Amenyanyua kikokotoo, Ndejembi asema huo ni mwanzo tu  Nukuu za Waziri wa Nchi, Ofisi yaWaziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Deogratius Ndejembi-Bungeni   “BajetiKuu ya Serikali ya Mwaka wa fedha 2024/2025 ambayo tunaenda kuipitishainaonyesha ni namna gani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan anaguswa na…

Read More

Kipre Jr wa Azam huyooo USM Alger

BAADA ya kung’ara katika msimu wa pili wa kucheza katika Ligi Kuu Bara akihusika na mabao 18 akiwa na Azam FC, kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Kipre Jr hatakuwa sehemu ya kikosi msimu ujao baada ya uongozi wa timu hiyo kumuuza USM Alger kwa dau nono. Kiungo huyo aliyefunga mabao tisa na kuasisti tisa vile…

Read More

RAIS DKT. SAMIA ANAGUSWA NA KUJALI MAISHA YA WAFANYAKAZI

*Amenyanyua kikokotoo, Ndejembi asema huo ni mwanzo tu Nukuu za Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Deogratius Ndejembi- Bungeni “Bajeti Kuu ya Serikali ya Mwaka wa fedha 2024/2025 ambayo tunaenda kuipitisha inaonyesha ni namna gani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu…

Read More

Lina PG Tour: Vita ya fimbo yahamia Arusha

WAKALI 38 wanatarajiwa kuchuana katika mashindano maalumu ya kumuenzi Lina Nkya ya Lina PG Tour, kwenye viwanja vya Gymkhana, jijini Arusha, Julai 11 hadi 14, mwaka huu. Mashindano haya yanayoingia raundi ya tatu kati ya tano, yanamuenzi nyota huyo ambaye enzi za uhai wake alifanya kazi kubwa ya kuilea gofu ya wanawake kwa mafanikio hadi…

Read More

COSOTA WAISHUKURU MAHAKAMA, KESI KWENDA VIZURI

Afisa Mtendaji Mkuu wa Ofisi ya Usuluhishi Tanzania (COSOTA), Dorine Sinare akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam wakati wa kongamano la mafunzo wa Wadau wa mahakama na wengine kuhusiana na Hati miliki na alama za biashara kongamano hilo limefanyika katika ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Saalaam. OFISI ya…

Read More

Moto Ligi U-17 kuwaka Leaders, Dar Gymkhana

Viwanja mduara vya Leaders na Dar es Salaam Gymkhana ndivyo vitaamua timu ipi ni bora katika Ligi ya Vijana chini ya umri wa miaka 17, jijini Dar esa Salaam wikiendi hii. Kwa mujibu wa msemaji mkuu wa chama cha kriketi nchini (TCA), Ateef Salim, ligi hii ina upinzani mkali kwani inajumuisha vijana wenye damu changa…

Read More