Utaalamu hafifu kikwazo utambuzi wa mapema wa saratani -4
Dar es Salaam. Utaalamu hafifu kwa watoa huduma za afya ngazi za msingi na uhaba wa vifaatiba kubaini ugonjwa wa saratani mapema, ni sababu ya wengi kuanza tiba kwa kuchelewa. Changamoto nyingine inatajwa ni kutokutolewa rufaa mapema inapotokea mgonjwa ana viashiria vya saratani kukua, kusambaa mwilini au kuugua mara kwa mara. Serikali imekiri kuwapo kwa…