IDARA YA UCHUMI NA UWEZESHAJI NI MUHIMU KWA MAENDELEO YA TAIFA
Na. James Mwanamyoto, OR-TAMISEMI Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro Bw. Herman Tesha amesema, Idara ya Uchumi na Uwezeshaji katika Sekretarieti za Mikoa ni muhimu sana katika kuchagiza na kuleta maendeleo ya taifa. Bw. Tesha amesema hayo leo kwa niaba ya Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI Bw. Sospeter Mtwale, wakati akifungua kikao kazi…