Hoja saba zapata majibu Bunge likipitisha bajeti
Dodoma. Sh49.35 trilioni za bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2024/2025 zimeidhinishwa rasmi na Bunge, miongoni mwa wanufaika wakiwa wakandarasi wa ndani na wastaafu waliopunjwa kutokana na kikokotoo kipya. Serikali kwa mwaka mpya wa fedha unaoanza Julai mosi, itashughulikia ‘wapigaji’ serikalini kwa kuzungumza na vyombo vinavyohusika na maadili, huku suala la upungufu wa sukari…