Mfanyabiashara akutwa amefia ndani Arusha
Arusha. Mfanyabiashara, Shangwe Julius (35) amekutwa amekufa ndani ya nyumba yake iliyopo kata ya Olgilai, Wilaya ya Arumeri, mkoani Arusha. Mfanyabiashara huyo wa bidhaa za kilimo amekutwa amekufa ndani ya nyumba yake, huku baadhi ya wakazi wakidai kifo hicho kimesababishwa na matumizi makubwa ya pombe. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, SACP Justine Masejo amethibitisha…