HATUTASITA KUCHUKUA HATUA KWA KIONGOZI ANAYEWANYANYASA WANANCHI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema Ofisi ya Rais TAMISEMI haitasita kuchukua hatua kwa kiongozi yeyote anayewanyanyasa wananchi kupitia ukusanyaji wa ushuru wa mazao kwani Serikali imeshakwisha kutoa Miongozo kuhusu ukusanyaji wa ushuru wa mazao. Mhe. Mchengerwa ameyasema hayo wakati akichangia hoja yake bungeni…