MRADI WA BEGINIT KUWAFUNZA WANAFUNZI KUTUMIKIA JAMII ZAO
MRADI wa Beginit unaojihusisha na kutoa mafunzo ya Uongozi kwa Watoto Leo Juni 25,2024 umetoa mafunzo ya uongozi kwa wanafunzi wa shule ya Sekondari Temeke na Toangoma wenye lengo la kuwajengea uwezo wa kutafuta fursa katika jamii na kutatua changamoto zilizopo na zabaadae. Hayo ameyasemwa na Elen Tropinova,ambaye ni Mkuu wa Mradi huo wa Beginit…