BALOZI MBUNDI AONGOZA KIKAO CHA NDANI CHA MAANDALIZI YA MKUTANO WA MAKATIBU WAKUU WA EAC
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki-anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki, Balozi Stephen Mbundi ameongoza kikao cha ndani cha maandalizi ya mkutano wa Makatibu Wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kilichofanyika tarehe 25 Juni, 2024 jijini Arusha. Kikao hicho cha ndani pamoja na masuala mengine kimepitia agenda, taarifa na…