MABONDIA WANAWAKE KUNUFAIKA NA MRADI WA QUEEN BOXING KUPITIA UBALOZI WA UFARANSA
* picha za mabondia kuwekwa katika kuta za ubalozi wa Ufaransa nchini na Houlgate, Normandy na Paris nchini Ufaransa Na Leandra Gabriel, Dar es Salaam SERIKALI Ya Ufaransa kupitia Ubalozi wake nchini imeeleza kuwa suala la ushiriki wanawake katika michezo na kuendeleza vipaji ni moja ya kipaumbele chao na hiyo ni pamoja na kuhakikisha wanawake…