Mgomo kufungua maduka wafika Mwanza, Mbeya
Dar/Mikoani. Wakati mgomo wa wafanyabiashara eneo la Kariakoo, Dar es Salaam ukiingia siku ya pili leo, umeungwa mkono na wengine wa mikoa ya Mbeya na Mwanza. Hata hivyo, katika maeneo hayo, baadhi ya wafanyabiashara wamefungua maduka na kuendelea na biashara kama kawaida. Kuendelea kufungwa kwa maduka katika eneo la Kariakoo, mbali ya kuwaathiri wateja, pia…