Wanaume wa Kiorthodox waandikishwe jeshini – DW – 25.06.2024
Uamuzi huo wa mahakama umetolewa Jumanne na kuamua kwa kuwa hakuna sheria inayotofautisha kati ya wanafunzi wa seminari ya Kiyahudi na wanafunzi wengine walioandikishwa kujiunga na shule, mfumo wa utumishi lazima wa kujiunga na jeshi la Israel, unapaswa kutumika kwa Waorthodox wote kama vile raia wengine wowote. Awali, wanaume wa madhehebu ya Kiorthodox walikuwa wanaruhusiwa…