MALIMA AKEMEA MIGOGORO YA VIONGOZI WA HALMASHAURI YA MJI IFAKARA
Na Mwandishi Wetu, Ifakara MKUU wa mkoa wa Morogoro ,Adam Malima amekemea vikali kuwepo kwa migogoro na migongano isiyokwisha ya viongozi wa halmashauri ya mji wa Ifakara ambayo imekua ni chanzo cha kudhorotesha kwa kutokamilika miradi ya maendeleo ya huduma za kijamii na kiuchumi. Malima amesema hayo wakati wa kikao cha Baraza maalum la Madiwani…